MTANGAZAJI

ADHA YA USAFIRI MOROGORO

Mjini Morogoro leo asubuhi hakuna usafiri wa  daladala inayotembea  kuna mgomo uliosababishwa na wamiliki wa daladala na madereva kugoma kulipa kiasi cha shilingi 500 gari linapokuwa likiingia stand na kutoka ambapo zamani ilikuwa ni shilingi 200 mpaka 300

Pikipiki ndizo zinafanya kazi na taxi pamoja na malori yanabeba wanafunzi.

Na Mdau Fanuel Tanda

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.