Friday, November 6, 2009
Thursday, November 5, 2009
NDOO ZA PLASTIK ZINAPOKUWA MADAWATI
Wednesday, November 4, 2009
USHAURI KWA WAANDISHI
Kwa sisi ambao tuko "ughaibuni" na huja nyumbani mara kwa mara, tunachoka sana kusoma "habari mbaya" tu kutoka nyumbani! Tunafurahi zaidi kusoma habari nzuri; ambazo tunajua ni nyingi huko nyumbani! .
Kuanzia oneni link hii ya "Goodnews Toronto" - Kuhusu Mtoto Stephano kutoka Mbeya, Tanzania. http://www.goodnewstoronto.ca/heroes.html.
Ahsateni. Mabula
Kuanzia oneni link hii ya "Goodnews Toronto" - Kuhusu Mtoto Stephano kutoka Mbeya, Tanzania. http://www.goodnewstoronto.ca/heroes.html.
Ahsateni. Mabula
Monday, November 2, 2009
Friday, October 30, 2009
MUARGENTINA ATAKAYE PAMBANA NA CHEKA AFAHAMIKA
Bondia Enrique Areco wa Argentina ndiye atakayezipiga na Bingwa wa dunia wa uzito wa middle anayetambuliwa na Chama cha Ngumi za Kulipwa cha UBO,Francis Cheka kwenye uwanja wa Uhuru desemba 19 mwaka huu huko jijini Dar es salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari Rais wa Shirikisho la Masumbwi Tanzania PST Emmanuel Mlundwa alisema jana kuwa Cheka atawania ubingwa wa Kamisheni ya Dunia ya ngumi za kulipwa au World Boxing Commision WBC ambao unashikiliwa na Areco.
Mtandao wa www.boxrec.com umemwelezea Enrique Areco aliyezaliwa mwaka 1964 kuwa ameshinda mapigano 43 ambapo 13 ni kwa KO,akiwa amepoteza michezo 15 ambapo 6 ikiwa ni kwa KO na kutoka sare michezo 7
Mtandao huo pia unamwelezea Francis Cheka kuwa bondia huyo aliyezaliwa 1982 na kuanza kucheza mpira wa miguu akiwa kipa wa timu ya Nondo FC ameshinda mapambano 18 ambapo 12 ikiwa ni kwa KO na kupoteza 6 ikiwa ni kwa KO kwa michezo 3 na kutoka sare pambano moja.
BAO NAO WAPO SHIMIWI MOROGORO
Subscribe to:
Posts (Atom)








